Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w76 12/15 uku. 561
  • “Kama Mwiba”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Kama Mwiba”
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Habari Zinazolingana
  • Mjusi Mwenye Ngozi Yenye Miiba Inayofyonza Unyevu
    Amkeni!—2015
  • ‘Njia Kama Boma la Miiba’
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Methali za Waakan Zinaonyesha Maadili ya Kijamii
    Amkeni!—2003
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
w76 12/15 uku. 561

“Kama Mwiba”

“Kama mwiba uingiao katika mkono wa mlevi,” yasema Mithali 26:9, “kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.” Mtu aliyelewa aweza kujiumiza mwenyewe au wengine kama kwamba kwa kutumia mwiba. Vivyo hivyo, mtu asiye na ufahamu aweza kuumiza watu kwa kutumia mithali vibaya, akiitumia kwa njia isiyofaa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki