Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g90 7/8 uku. 32
  • ‘Husaidia kuwa miongozo kwa maisha ya kila siku’

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • ‘Husaidia kuwa miongozo kwa maisha ya kila siku’
  • Amkeni!—1990
  • Habari Zinazolingana
  • Uwe na Maoni Yanayopatana na Maandiko Kuhusu Matibabu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Matibabu Unayochagua
    Amkeni!—2000
  • Matibabu ya Asili—Kinachowafanya Wengi Wayatumie
    Amkeni!—2000
  • Dumisha Imani na Afya Yako ya Kiroho
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1989
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—1990
g90 7/8 uku. 32

‘Husaidia kuwa miongozo kwa maisha ya kila siku’

HIVYO ndivyo mwanamke mmoja wa kutoka Toronto, Kanada, alivyoita vichapo vya Sosaiti ya Mnara wa Mlinzi Biblia na Trakti. “Mimi huona shangwe kuvisoma na huziona habari hizo kuwa zenye kuarifu sana, zenye kuchangamsha moyo, na juu ya yote, zenye kusaidia sana kuwa miongozo kwa maisha ya kila siku.”

Aliongeza hivi: “Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu, na ni lazima nikiri kwamba ni ajabu sana kwamba nimejifunza mengi zaidi kupitia vichapo vyenu kuliko kupitia miaka yangu yote ya kujifunza. Hasa nilionea shangwe kitabu chenu Kufanya Maisha ya Jamaa Yako Yawe Yenye Furaha. Hakuna vichapo vinginevyo ambavyo vimeweza kuwa na matokeo chanya yenye uzito wa kadiri hiyo juu ya maisha yangu kama hivyo vyenu—vimenisaidia sana sana; nami nawatolea asante kikweli kwa jambo hilo.”

Kitabu kilichotajwa juu, Kufanya Maisha ya Jamaa Yako Yawe Yenye Furaha, hutoa madokezo hususa ambayo husaidia kutatua matatizo na kufanya ndoa ipendeze kama vile Muumba alivyoikusudia. Ili upate nakala yako, jaza na utupelekee hati yenye anwani iliyopo chini pamoja na mchango wa Kshs. 20/= (Tshs. 150/=; RWF 100).

Tafadhali nipelekeeni kile kitabu chenye jalada gumu cha kurasa 192, Kufanya Maisha ya Jamaa Yako Yawe Yenye Furaha. Mimi nawapelekea Kshs. 20/= (Tshs. 150/=; RWF 100).

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki