Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g90 7/8 uku. 31
  • “Njia Iliyo Pana na Rahisi”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Njia Iliyo Pana na Rahisi”
  • Amkeni!—1990
  • Habari Zinazolingana
  • Barabara Nyembamba Iendayo Kwenye Uhuru
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1995
  • Je, Mashahidi wa Yehova Wanaamini Dini Yao Tu Ndiyo Dini ya Kweli?
    Maswali Yanayoulizwa Mara Nyingi Kuhusu Mashahidi wa Yehova
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Mahubiri ya Mlimani—“Ingieni kwa Kupitia Mlango Ulio Mwembamba”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1980
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—1990
g90 7/8 uku. 31

“Njia Iliyo Pana na Rahisi”

“Laiti watu wangalijikaza iwapasavyo, laiti wasingelemewa na ugoigoi na utepetevu wao, laiti wangeshinda pupa yao, laiti wangekuwa imara kiadili, laiti hawangekuwa na ubinafsi na akili zenye kufikiria upande mmoja tu, laiti hawangeshughulikia vijambo visivyo vya maana na wasiwe wenye madharau na wapumbavu, laiti wangekuwa wenye moyo mkuu wa kutojali udhia mdogo-mdogo, laiti wangejua ni nini kilicho hatarini, laiti hawangekuwa wanafiki, laiti wangaliikanyaga chini ya nyayo zao njia iliyo pana na rahisi.”—Charles Malik, aliyekuwa hapo zamani msimamizi wa Kusanyiko Kuu la UM.

“Laiti wangejua ni nini kilicho hatarini,” akasema Malik. Zaidi ya karne 19 zilizopita, Kristo Yesu alinena juu ya ‘njia pana’ na ‘njia nyembamba iliyosonga,’ na akaeleza ni nini kilicho hatarini: “Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache.”—Mathayo 7:13, 14.

Njia iliyo pana na yenye nafasi nyingi hufikia kikomo kamili; njia iliyo nyembamba na yenye kusonga hupanuka na haina kikomo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki