Ukurasa wa pili
Tujifunze Nini Kutokana na Historia? 3-11
Je, kweli kuna umuhimu wa kujifunza historia? Twaweza kujifunza nini kutokana nayo? Je, historia ya Biblia ina manufaa yoyote leo?
Sili-Watawa wa Mediterania—Je, Wataendelea Kuwapo? 15
Ni mamia machache tu ya wanyama hao maridadi wanaosalia leo. Je, watatoweka?
Pambano Langu na Ugonjwa Wenye Kudhoofisha 18
Soma jinsi Tanya anavyopambana na ugonjwa wenye kuumiza unaoathiri mamilioni ya wanawake.
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
Picha ya katikati kwenye jalada: Franklin D. Roosevelt Library
P. Dendrinos/MOm