Ukurasa wa Pili
Dini Nchini Urusi —Zitapatwa na Nini? 3-15
Chunguza jitihada zilizofanywa ili kugandamiza dini na jinsi makanisa yalivyostahimili mnyanyaso. Jifunze kuhusu kuibuka tena kwa dini na mambo yatakayozipata.
Kwa Nini Niwajue Vyema Babu na Nyanya? 16
Mara nyingi babu na nyanya hupuuzwa. Kwa nini ni muhimu kuwajali?
Jinsi Wakristo Walivyotunza Waliokumbwa na Mafuriko Msumbiji 24
Soma jinsi imani ya kweli ilivyoshinda wakati wa msiba.
[Picha katika ukurasa wa 2]
JALADA: SuperStock