Ukurasa wa Pili
Je, Wakimbizi Watapata Makao ya Kudumu? 3-13
Mamilioni ya wakimbizi ulimwenguni pote huhamahama bila matumaini yoyote. Wengi wao hawapati usalama wanaotafuta. Je, kuna wakati ambapo kila mtu atakuwa na makao ya kudumu?
Mnyanyaso wa Kidini Huko Georgia Utaendelea Hadi Lini? 18
Kwa nini Mashahidi wa Yehova wanapigwa sana na kunyanyaswa katika nchi hiyo?
Kuna Hatari Gani Kujihusisha Kidogo Tu na Mambo ya Mizungu? 25
Vijana wengi wanapendezwa na mambo ya mizungu. Je, ni mchezo tu, au kuna hatari zilizofichika?
[Picha katika jalada]
Jalada: Wakimbizi wa Rwanda warudi nchini kwao
[Hisani]
UNHCR/R. Chalasani
[Picha katika ukurasa wa 2, 3]
Ukurasa wa 2 na wa 3: Wakimbizi Waethiopia wasubiri misaada ya chakula na maji
[Hisani]
UN PHOTO 164673/JOHN ISAAC