Ukurasa wa Pili
Je, Uko Salama Kazini? 3-9
Kwa nini watu hufadhaika sana kazini na ni kwa nini kazi nyingine zimekuwa hatari? Ni nini kinachoweza kufanywa ili mahala pa kazi pawe salama? Jifunze jinsi unavyoweza kuwa na maoni yanayofaa kuhusu kazi.
Jinsi Matumaini Yangu Yalivyotimizwa 12
Mwanamke mmoja katika Ulaya ya Kati asimulia jinsi alivyofanikiwa kupata mambo ambayo alidhani yangeletwa tu na Ukomunisti.
Wamasai Ni Watu wa Pekee Wanaovutia 24
Utapendezwa kusoma kuhusu maisha ya watu hao warefu na wenye kuvutia wa Afrika Mashariki.