Ukurasa wa Pili
Je, Kuunganisha Ulimwengu Ni Balaa au Ni Baraka? 3-13
Katika harakati mpya za kusuluhisha matatizo ya ulimwengu, viongozi wengi wa ulimwengu wanapendekeza wazo la kuunganisha ulimwengu (utandaridhi). Hata hivyo, mara nyingi mikutano ya viongozi hao kuhusu suala hilo huzusha ghasia na malalamiko. Utandaridhi ni nini? Je, utatatua matatizo yako?
Linda Uwezo Wako wa Kusikia! 19
Uwezo wetu wa kusikia ni zawadi yenye thamani sana. Jifunze jinsi ambavyo masikio yako hufanya kazi na jinsi unavyoweza kulinda uwezo wa kusikia.
Maajabu ya Yai la Mbuni 22
Njoo utembelee shamba la kufuga mbuni, na ujifunze juu ya ukuzi wa kustaajabisha wa mbuni kuanzia wakati yai linapotagwa!
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 3]
JALADA: Mountain High Maps® Copyright © 1997 Digital Wisdom, Inc.; matufe kwenye ukurasa wa 2, 5, 7-10, na 13: NASA photo