Ukurusa wa Pili
Familia za Mzazi Mmoja Zinaweza Kufaulu 3-12
Idadi ya familia za mzazi mmoja inaongezeka katika nchi nyingi. Watu wa familia hizi wanawezaje kushinda magumu maishani?
Je, Imani Inategemea Vitu vya Kale Vilivyochimbuliwa? 18
Je, vitu vya kale vinavyochimbuliwa ndivyo vinavyothibitisha kwamba Biblia ni Neno la Mungu?
Kwa Nini Watu Husisimuliwa na Michezo Hatari? 20
Idadi ya watu wanaoshiriki katika michezo inayoweza kusababisha kifo inaongezeka. Kwa nini?