Ukurasa wa Pili
Je, Michezo ya Kompyuta Ina Ubaya Wowote? 3-8
Watu fulani wanasema kwamba michezo fulani ya kompyuta na ya video ni yenye kuelimisha na yenye kufurahisha na haina madhara yoyote. Wengine husema michezo hiyo ni hatari. Je, kuna hatari zozote ambazo wewe na familia yako mnapaswa kuzifahamu?
Imani Yajaribiwa Huko Slovakia 19
Jifunze jinsi mtu mmoja alivyoshinda pambano la muda mrefu dhidi ya mnyanyaso wa kidini.
Nawezaje Kuepuka Kuathiriwa na Vijana Wenzangu? 25
Unahitaji kufanya nini ili kukinza uvutano huo wenye nguvu maishani mwako?