Yaliyomo
Juni 2006
Ugaidi Utakapokwisha
Ugaidi umekuwapo kwa karne nyingi, lakini leo unaathiri maisha ya watu wengi kuliko wakati mwingine wowote. Utakwisha lini na jinsi gani?
4 Historia Iliyojaa Umwagaji wa Damu
20 Jinsi Upigaji-Picha Ulivyoanza
31 Ungejibuje?
32 Mamilioni Wataelekea Huko—Je, Utajiunga Nao?
Naweza Kutumiaje Pesa Zangu Vizuri? 10
Ugaidi umekuwapo kwa karne nyingi, lakini leo unaathiri maisha ya watu wengi kuliko wakati mwingine wowote. Utakwisha lini na jinsi gani?
Kutumia pesa kupita kiasi ni rahisi. Ni njia gani bora ya kupangia matumizi ya pesa zako?
[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]
AP Photo/Ben Sklar