Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 2/09 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Amkeni!—2009
  • Habari Zinazolingana
  • Dyslexia Haijanizuia Kufikia Miradi Yangu
    Amkeni!—2009
  • Kushinda Fadhaiko la Dyslexia
    Amkeni!—1996
  • Kutoka kwa Wasomaji Wetu
    Amkeni!—1997
  • Kutoka kwa Wasomaji Wetu
    Amkeni!—2010
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2009
g 2/09 kur. 1-2

Yaliyomo

Februari 2009

Dunia Imekusudiwa Itegemeze Uhai

Kila kitu katika Dunia kinaonyesha kwamba ilikusudiwa itegemeze uhai. Je, dunia ilijitokeza tu, au ilibuniwa kwa kusudi fulani? Sayansi na Biblia zinasema nini?

3 Sayari Iliyo Hai

4 Dunia Ipo Mahali Bora Zaidi

6 Ngao za Dunia Zenye Nguvu

6 Maji Yanaendeleza Uhai

8 Mizunguko Inayotegemeza Uhai

8 Uandalizi wa Pekee kwa Ajili ya Wanadamu

10 Wakati Ndege Wanapogonga Majengo

12 Maoni ya Biblia Je,

Wakati Wako Ujao Umeamuliwa Mapema?

14 Kuitazama Mihiri kwa Ukaribu

17 Baiskeli Inayonoa Visu

24 Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Mabawa ya Viumbe Wanaoruka

25 Kupiga Mbinja—Njia ya Pekee ya “Kuzungumza”

26 Unaweza Kuboresha Kumbukumbu Lako!

30 Kuutazama Ulimwengu

31 Ungejibuje?

32 Je, Kuna Muumba, na Ikiwa Yupo, Je, Anakujali?

Ninaweza Kufanya Nini Uhusiano Ukivunjika? 18

Mchumba mmoja anapovunja uhusiano, mwenzake anaweza kuvunjika moyo kabisa. Ona jinsi unavyoweza kushughulikia hali hiyo ngumu.

Dyslexia Haijanizuia Kufikia Miradi Yangu 21

Soma hadithi yenye kuchochea ya mwanamume Mdenishi ambaye hakuruhusu tatizo la dyslexia limzuie kutimiza miradi yake maishani.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

COVER: Earth: NASA/The Visible Earth (http://visibleearth.nasa.gov/); Sun: SOHO (ESA & NASA)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki