Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 6/09 kur. 27-31
  • Ungejibuje?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ungejibuje?
  • Amkeni!—2009
  • Vichwa vidogo
  • Habari Zinazolingana
  • Ni Nini Kimekosekana Katika Picha Hii?
  • Katika Toleo Hili
  • Watoto Watafute Picha
  • Unajua Nini Kuhusu Manabii?
  • MAJIBU YA UKURASA WA 31
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
  • Ungejibuje?
    Amkeni!—2009
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
  • Mazungumzo ya Familia
    Amkeni!—2010
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2009
g 6/09 kur. 27-31

Ungejibuje?

Ni Nini Kimekosekana Katika Picha Hii?

Soma Hesabu 22:21-27. Kisha utazame picha. Andika majibu yako kwenye mistari iliyo hapa chini, na ukamilishe picha hii kwa kuchora vitu vinavyokosekana na kupaka rangi.

1. ․․․․․

2. ․․․․․

3. ․․․․․

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Kwa nini Balaamu alikasirika? Unahisije kuhusu jinsi Balaamu alivyomtendea punda-jike wake, na kwa nini unahisi hivyo?

Katika Toleo Hili

Jibu maswali haya na utaje mistari ya Biblia ambayo haijaonyeshwa.

UKURASA WA 7-8 Kuwaogopa watu kunaweza kuleta nini? Methali 29:________

UKURASA WA 7 Mtu mjinga anatembea katika nini? Mhubiri 2:________

UKURASA WA 7 Mipango ya mwenye bidii huleta nini? Methali 21:________

UKURASA WA 22 Wafu hawajui nini? Mhubiri 9:________

Watoto Watafute Picha

Je, unaweza kupata picha hizi katika toleo hili? Kwa maneno yako mwenyewe, eleza jambo linalotendeka katika kila picha.

Unajua Nini Kuhusu Manabii?

Soma Yeremia 38:1-13; 39:15-18. Kisha ujibu maswali yafuatayo.

4. ․․․․․

Ni nani aliyemwokoa Yeremia na kwa nini alifanya hivyo ingawa ilikuwa hatari?

5. ․․․․․

Yeremia alimwambia nini mtu huyo baadaye?

ZUNGUMZENI PAMOJA:

Ni kwa nini Yeremia alitangaza ujumbe wa Yehova ingawa ilikuwa hatari kufanya hivyo? Ukimtumikia Yehova kama Yeremia alivyofanya, unaweza kutazamia Yehova akufanyie nini?

◼ Majibu kwenye ukurasa wa 27

MAJIBU YA UKURASA WA 31

1. Punda-jike.

2. Fimbo ya Balaamu.

3. Malaika wa Yehova.

4. Ebed-meleki. Alijua kwamba Yeremia alikuwa nabii wa Yehova na hakustahili kuuawa.

5. Kwamba Yehova angemlinda Ebed-meleki wakati jiji la Yerusalemu lingeharibiwa.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki