Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 8/09 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Amkeni!—2009
  • Habari Zinazolingana
  • Ubaguzi Tatizo la Ulimwenguni Pote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Ubaguzi Utakwisha Lini?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Je, Wewe ni Mhasiriwa wa Ubaguzi?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1996
  • Chuki na Ubaguzi—Kufichua Mizizi Yake
    Amkeni!—2009
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2009
g 8/09 kur. 1-2

Yaliyomo

Agosti 2009

Chuki na Ubaguzi?—Kwa Nini? Unaweza Kukabilianaje?

Mamilioni ya watu wanakumbwa na ubaguzi. Ni mambo gani yanayosababisha ukosefu huo wa haki? Je, kuna suluhisho?

3 Kutendewa Kama Mtu Asiye na Maana

4 Chuki na Ubaguzi—Kufichua Mizizi Yake

7 Upendo Hushinda Chuki

14 Ustadi wa Kutayarisha Kahawa ya Spreso

19 Makosa Yaliyoanzisha Vita vya Ulimwengu

22 Maoni ya Biblia Je, Kunapaswa Kuwa na Tofauti Kati ya Makasisi na Waumini?

24 Wazazi Waaminifu na Wenye Ushirikiano

25 Je, Ni Kazi ya Ubuni? Koa la Moluska

26 Unavyoathiriwa na Tekinolojia ya Kutunza Siri!

29 Kutoka kwa Wasomaji Wetu

30 Kuutazama Ulimwengu

31 Ungejibuje?

32 ‘Sanduku Linaloweza Kufunguliwa na Yehova Peke Yake’

Ninaweza Kukabilianaje na Kifo cha Mzazi? 10

Ni mambo machache sana maishani yanayoweza kumwathiri mtu zaidi kuliko kifo cha mzazi. Ona jinsi unavyoweza kukabiliana na hisia zinazokuja kwa sababu ya msiba kama huo.

Ulimwengu Uliojaa Maajabu 16

Kadiri wanasayansi wanavyojifunza mengi kuhusu ulimwengu, ndivyo wanavyogundua hawajui mengi. Soma kuhusu magunduzi fulani ya hivi karibuni yenye kushangaza.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

Based on NASA photo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki