Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 8/10 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Amkeni!—2010
  • Habari Zinazolingana
  • Jifunze Kuhusu Wabatak
    Amkeni!—2010
  • Bawa la Kereng’ende
    Amkeni!—2010
  • Farasi wa Shetland Mtulivu Lakini Mwenye Nguvu
    Amkeni!—2010
  • Vito vya Kingo za Mto
    Amkeni!—1997
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2010
g 8/10 kur. 1-2

Yaliyomo

Agosti 2010

Mashahidi wa Yehova—Wao Ni Nani?

Umeambiwa nini kuhusu Mashahidi wa Yehova? Je, mambo hayo ni ya kweli? Tunatumaini kwamba habari zifuatazo zitaondoa maoni yoyote yasiyo ya kweli.

3 Unajua Nini Kuhusu Mashahidi wa Yehova?

4 Mambo Ambayo Wengine Wamesema

6 Maswali Ambayo Watu Huuliza Mara Nyingi

8 Mashahidi wa Yehova Wanaamini Nini?

10 Wakili Awachunguza Mashahidi wa Yehova

20 Maoni ya Biblia

Roho Waovu Ni Nani?

22 Ninasubiri Wakati Nitakapowaambia, “Sote Tupo Hapa!”

24 Farasi wa Shetland—Mtulivu Lakini Mwenye Nguvu

25 Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Bawa la Kereng’ende

26 Vijana Huuliza

Nifanye Nini Ili Nielewane na Ndugu na Dada Zangu?

30 Kuutazama Ulimwengu

31 Mazungumzo ya Familia

32 Mashahidi wa Yehova Hutumia Njia Gani Kufundisha Biblia?

Mchochota wa Ini Aina ya B—Ugonjwa Unaoua Kimyakimya 12

Asilimia 33 hivi ya watu ulimwenguni pote wameambukizwa ugonjwa huo unaoweza kusababisha kifo. Jifunze jinsi unavyoweza kujikinga.

Jifunze Kuhusu Wabatak 16

Wabatak wanaoishi katika eneo lenye kupendeza la Indonesia, ni mojawapo ya makabila makubwa katika nchi hiyo. Jiunge nasi tunapojifunza kuhusu utamaduni wao.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

© Sebastian Kaulitzki/Alamy

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki