Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 9/10 kur. 1-2
  • Yaliyomo

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yaliyomo
  • Amkeni!—2010
  • Habari Zinazolingana
  • Kuushinda Upweke
    Amkeni!—2004
  • Usiache upweke uathiri vibaya maisha yako
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1994
  • Upweke Katika Ulimwengu Uliojaa Mawasiliano
    Amkeni!—2010
  • Upweke-Je! Umeazimia Kupambana Nao na Kuushinda?
    Amkeni!—1993
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2010
g 9/10 kur. 1-2

Yaliyomo

Septemba 2010

Jinsi ya Kukabiliana na Upweke

Ni mambo gani yanayomfanya mtu awe mpweke? Unaweza kushinda tatizo hilo jinsi gani? Wengine wamekabiliana jinsi gani kwa mafanikio na hisia hiyo yenye kufadhaisha?

3 Upweke Katika Ulimwengu Uliojaa Mawasiliano

4 Upweke Unasababishwa na Nini?

6 Suluhisho la Upweke

10 Maoni ya Biblia

Inamaanisha Nini Kugeuza Shavu Lile Lingine?

16 Nyumba Zinazoweza Kuhamishwa za Asia ya Kati

18 Mbegu Ndogo Yatokeza Mwaloni Mkubwa

19 “Huenda Wimbo Tu Ukatosha”

20 Vijana Huuliza

Ninaweza Kufanya Nini ili Niache Kuhuzunika?

23 Je, Ni Kazi ya Ubuni?

Ustadi wa Kuchimba wa Chaza

24 “Mfalme wa Mwituni” wa Amerika

29 Kuutazama Ulimwengu

30 Kutoka kwa Wasomaji Wetu

31 Mazungumzo ya Familia

32 Tofauti Ambayo Walimu Wanatambua

Niliingia Kwenye Shindano Bora Zaidi Maishani 12

Mmoja kati ya wakimbiaji wenye kasi zaidi huko Finland alijifunza kuhusu ‘mbio za uzima’ zinazotajwa katika Biblia. Soma jinsi alivyovumilia kwa furaha ili apate zawadi.

Ubuni Wenye Kustaajabisha wa Molekuli ya Hemoglobini 26

Inafanya damu kuwa nyekundu. Jifunze ni kwa nini hatuwezi kuishi bila molekuli hiyo.

[Hisani ya Picha katika ukurasa wa 2]

Published in Aamulehti 8/21/1979

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki