Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g 10/12 uku. 2
  • Ukurasa wa Pili

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ukurasa wa Pili
  • Amkeni!—2012
  • Habari Zinazolingana
  • Vipi Ikiwa Sipendi Shule?
    Vijana Huuliza
  • Shule Yenye Mafanikio Ambayo Ni ya Ulimwenguni Pote
    Amkeni!—1995
  • Je, Niache Shule?
    Amkeni!—2010
  • Niache Shule?
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 1
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2012
g 10/12 uku. 2

Jinsi Unavyoweza Kufanikiwa Shuleni

[Picha katika ukurasa wa 2]

Wewe ungetumia maneno gani kueleza maoni yako kuhusu shule?

  • Inachosha au inasisimua?

  • Inakatisha tamaa au inathawabisha?

  • Ina mkazo au inafurahisha?

Ikiwa una maoni yasiyofaa kuhusu shule, unawezaje kurekebisha maoni hayo? Ikiwa una maoni yanayofaa kuhusu shule, unawezaje kuboresha stadi zako ili ufaidike zaidi na elimu unayopata? Tutatumia kanuni za Biblia kuzungumzia njia tano za kupata mafanikio.

Nyingi ya kanuni zilizozungumziwa katika mfululizo huu zina faida iwe unaenda kwenye shule ya umma au shule ya kibinafsi.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki