Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • g20 Na. 3 uku. 16
  • Walifaulu Kuushinda Ubaguzi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Walifaulu Kuushinda Ubaguzi
  • Amkeni!—2020
  • Habari Zinazolingana
  • Uwe na Upendo
    Amkeni!—2020
  • Nilitaka Kupigania Haki
    Biblia Inabadili Maisha
  • Unaweza Kupata Msaada
    Amkeni!—2020
  • “Hiyo ni Mbinu Mpya!”
    Amkeni!—2016
Pata Habari Zaidi
Amkeni!—2020
g20 Na. 3 uku. 16

Walifaulu Kuushinda Ubaguzi

Tazama video za masimulizi haya na mengine mengi kwenye tovuti ya jw.org/sw.

Ndugu wa Kweli

Johny na Gideon wakiwasalimia watoto nje ya Jumba la Ufalme la Mashahidi wa Yehova.

Ingawa Johny na Gideon walitoka kwenye jamii mbili tofauti na maoni yao ya kisiasa yalitofautiana, walisitawisha urafiki wa karibu.

Tazama video Johny na Gideon: Walikuwa Maadui, Sasa ni Ndugu. Tafuta video hiyo kwenye tovuti ya jw.org/sw.

“Nilitaka Kupigania Haki”

Rafika Morris.

Rafika alijiunga na kikundi cha wafanya-mabadiliko ili kupambana na ubaguzi wa rangi. Hatimaye, alipata umoja aliokuwa akitafuta alipohudhuria kusanyiko la Mashahidi wa Yehova.

Tazama video Rafika Morris: Nilitaka Kupigania Haki. Tafuta video hiyo kwenye tovuti ya jw.org/sw.

Walishinda chuki

Picha: 1. Mwanamume wa Kiarabu akitembea barabarani na mwanamume mwingine huku wakifurahia mazungumzo. 2. Mwanamume wa Kiyahudi akitabasamu akiwa pamoja na marafiki wake.

Ni nini kilichomsaidia Mwarabu na Myahudi kushinda ubaguzi?

Tazama video Wakati Ambapo Upendo Mshikamanifu Utashinda Chuki. Tafuta video hiyo kwenye tovuti ya jw.org/sw.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki