Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 17
  • “Matone ya Umande” ya Yehova Kati ya Mataifa Mengi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Matone ya Umande” ya Yehova Kati ya Mataifa Mengi
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Vijana Ambao Ni Kama Umande Wenye Kuburudisha
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
  • Machozi ya Asili
    Amkeni!—1995
  • Je, Huduma Yako Ni Kama Umande?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • ‘Watu wa Mataifa Wataiendea Makundi Makundi’ Ibada Yenye Kutoa Uzima
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1982
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 17

Wimbo 17

“Matone ya Umande” ya Yehova Kati ya Mataifa Mengi

(Zaburi 110:3)

1. Wazuri kama umande

Ni mabaki ya Kristo.

Wenye bei sana kwake,

Wakutanapo kwake.

2. Kati yao mataifa,

Wako kama umande.

Ni ’pole, waburudisha.

Wafuata amani.

3. Wenzi huunga mabaki

Siku ya Kutawala.

Kondoo, kama matone,

Watumikia nao.

4. Wengi wanajitolea,

Kutetea Yehova.

Kama matone-umande,

Tuwe, tuhubiripo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki