Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 33
  • “Yehova Mwenyewe Amekuwa Mfalme!”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Yehova Mwenyewe Amekuwa Mfalme!”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Yehova Ni Mfalme Wetu!
    Mwimbieni Yehova
  • Yehova Ni Mfalme Wetu!
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Wimbo kwa Aliye Juu Zaidi Sana
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 33

Wimbo 33

“Yehova Mwenyewe Amekuwa Mfalme!”

(Zaburi 97:1)

1. Enyi, shukuruni Yehova.

Mutangazeni mataifani.

Mwimbieni Mungu, kwa sauti tamu,

Kazi zake zifikirini.

(Korasi)

2. Utukufu wake semeni.

Wokovu wake wa siku zote.

Yah ni mukuu, wa kusifiwa sana.

Kuliko miungu mingine.

(Korasi)

3. Sema Mungu ni mutukufu.

Mushukuruni Mwana, Mufalme.

Na Mungu wetu mumwinamie sana,

Tukuzeni Yah, musifuni.

(KORASI)

Mbingu zifurahi, Na dunia pia,

Yehova amekuwa Mufalme!

Mbingu zifurahi, Na dunia pia,

Yehova amekuwa Mufalme!

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki