Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 35
  • Njia ya Upendo Ipitayo Zote

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Njia ya Upendo Ipitayo Zote
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Uwe Mstahimilivu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • “Mungu ni Upendo”
    Mwimbieni Yehova
  • “Mungu Ni Upendo”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Sitawisha Upendo Ambao Haushindwi Kamwe
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 35

Wimbo 35

Njia ya Upendo Ipitayo Zote

(1 Wakorintho 13)

1. Mungu upendo, kwa hiyo

Hutaka tuwe hivyo,

Kwa Mungu, jirani, pendo

Litutie bidii.

Kuwe imani, ujuzi,

Lugha na unabii,

Pendo likikosekana

Tu bure, hatufai.

2. Tujapohubiri sana,

Na kuteswa vibaya;

Ingetufaidi nini

Ikiwa nia mbaya?

Pendo lafadhili sana,

Si la adabu mbaya,

Si la kiburi na wivu,

Busara latumia.

3. Pendo si kali, si chungu,

Mabaya lachukia.

Linavumilia sana,

Haki lafurahia.

Imani, pendo, vyadumu

Tukihudumu Mungu;

Njia ipitayo zote

Ni pendo la kimungu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki