Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 73
  • “Hekima Ina Wenye Kiasi”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Hekima Ina Wenye Kiasi”
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Kiasi cha Kikristo Ni Uthibitisho wa Hekima
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Kusitawisha Kiasi cha Kikristo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Kwa Nini Sifa ya Kiasi Bado Ni Muhimu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
  • Unaweza Kudumisha Sifa ya Kiasi Unapojaribiwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 73

Wimbo 73

“Hekima Ina Wenye Kiasi”

(Mithali 11:2)

1. Kutembea naye Mungu,

Sharti tuwe na kiasi,

Tujue Mungu mukuu

Na sisi ni duni sana!

2. Sisi ni ‘watumwa bure!

Twakiri tu wenye dhambi.

Tukiwa nacho kiasi,

Tutafaidika sana!

3. ‘Mwe kama wadogo ninyi,’

Katufunza Bwana Yesu.

Tukiwa nacho kiburi,

Twavunja shauri lake.

4. Tutumikie kwa hofu,

Kwani twapenda Yehova.

Kuenda naye kiasi

Ni hekima toka juu.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki