Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ssb wimbo na. 150
  • Mkate Kutoka Mbinguni

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mkate Kutoka Mbinguni
  • Mwimbieni Yehova Sifa
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Umeonja Mkate wa Uzima?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • “Mkate wa Kweli Kutoka Mbinguni”
    Yule Mtu Mkuu Zaidi Aliyepata Kuishi
  • Yesu “Mkate wa Kweli Kutoka Mbinguni”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
  • Kristo Mfano Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova Sifa
Ssb wimbo na. 150

Wimbo 150

Mkate Kutoka Mbinguni

(Yohana 6:51)

1. Baba wa mbingu juu,

U yule yule daima,

Twaimba sifa zako

Twatakasa jina lako.

Kale ulitumia

Pendo kuongoza,

Watu kama kondoo,

Ukawapa mana.

Na kiu wakazima

Kwa maji kutoka mwamba.

’Kawaleta Kana’ni

Ni kundi lenye furaha.

2. Mana uliwalisha

Ni mufano wa Mwanako.

Kaacha utukufu

Watu wakaokolewe.

Ndiye ule mukate;

Mwili akatoa,

Kwa wale watu wote,

Wokovu wapate.

Mukate tu ambao

Mungu aweza kutoa;

Na tule kila siku,

Na kuishi kwa usafi.

3. Watu wasizuiwe

Mukate hata kidogo,

Bali, na tuwalishe

“Kondoo” za Kristo Yesu.

Saidia wengine

Watafute haki,

Waje waokolewe,

A’bariki Mungu.

Na baada ya vita

Kuu ya Har–Magedoni,

Tutamusifu Mungu,

Shangwe kwa matendo yake.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki