Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ti uku. 32
  • Ishi Milele Katika Paradiso Duniani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ishi Milele Katika Paradiso Duniani
  • Je, Uamini Utatu?
  • Habari Zinazolingana
  • “Endelea Katika Mambo Yale Ambayo Ulijifunza”
    Unaweza Kuishi Milele Katika Paradiso Duniani
  • “Endelea Katika Mambo Yale Ambayo Ulijifunza”
    “Tazama! Mimi Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya”
  • Uhai–Ulipataje Kuwa Hapa? Kwa njia ya mageuzi au kwa uumbaji?
    Amani na Usalama wa Kweli—Wewe Unaweza Kuupataje?
  • Toleo la vichapo
    “Ufalme Wako Uje”
Pata Habari Zaidi
Je, Uamini Utatu?
ti uku. 32

Ishi Milele Katika Paradiso Duniani

Mungu awaahidi uhai wa milele wale ambao humheshimu. “Waadilifu wenyewe watamiliki dunia, nao watakaa milele juu yayo,” Neno lake latuhakikishia.—Zaburi 37:29, NW.

Hata hivyo, ili uhesabiwe miongoni mwa “waadilifu,” wewe wahitaji kufanya mengi zaidi ya kuwa na habari tu juu ya fundisho la Utatu. Wahitaji kufanya maendeleo katika maarifa juu ya Mungu. Mashahidi wa Yehova watafurahi kukusaidia wewe, ikiwa hujaanza kupokea msaada huo. Andikia tu I.B.S.A. kwenye anwani ifaayo iliyoorodheshwa chini, ukiomba habari zaidi au kwamba mmoja wa Mashahidi wa Yehova aje nyumbani kwako ajifunze Biblia pamoja nawe kwa ukawaida bila malipo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki