Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 22
  • “Yehova ni Mchungaji Wangu”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Yehova ni Mchungaji Wangu”
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • “Yehova Ni Mchungaji Wangu”
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • “Yehova Ni Mchungaji Wangu”
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Yehova Ni Mchungaji Wetu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
  • “Mimi Hapa, Nitume Mimi”
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 22

Wimbo Na. 22

“Yehova Ni Mchungaji Wangu”

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 23)

1. Yah ni Muchungaji wangu;

Kwa nini niogope?

Kondoo wake huwatunza,

Hawasahau kamwe.

Hunileta penye maji,

Huburudisha nafsi.

Huongoza hatua zangu

Kwenye uadilifu.

Huongoza hatua zangu

Kwenye uadilifu.

2. Nijapopita bondeni,

Siogopi chochote.

Muchungaji yuko karibu;

Anilinda kwa fimbo.

Hupaka kichwa mafuta;

Kikombe akijaza.

Fadhili zitanifuata,

Nikae nyumba yake.

Fadhili zitanifuata,

Nikae nyumba yake.

3. Hunichunga kwa upendo!

Kwa shangwe namwimbia.

Habari za utunzi wake,

Najulisha kondoo.

Neno lake nitatii,

Nifwate njia yake.

Pendeleo la utumishi,

Daima nithamini.

Pendeleo la utumishi,

Daima nithamini.

(Ona pia Zab. 28:9; 80:1.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki