Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 51
  • Tunashikamana na Yehova

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tunashikamana na Yehova
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Kushikamana na Yehova Mungu Wetu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Tunda la Kujiweza
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Mungu Mkuu, Yehova!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Uwe Imara Kama Ruthu
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 51

Wimbo Na. 51

Tunashikamana na Yehova

Makala Iliyochapishwa

(Yoshua 23:8)

1. Bwana mwenye enzi kuu Yehova Mungu,

Utawala wake wa haki sikuzote.

Maneno yake yote yatatimia.

Tunashikamana na Yehova Mungu;

Na kuukubali utawala wake.

2. Kiti chake cha enzi kimeimarishwa.

Pande zote amezingirwa utukufu.

Wapole awaalika waje kwake.

Tunashikamana na Yehova Mungu;

Ndiye astahiliye kuabudiwa.

3. Mbingu za mbingu hazimutoshi Yehova.

Hakuna awezaye kushindana Naye.

Yote atabiriyo, yatatimia.

Tunashikamana na Yehova Mungu;

Mapenzi yake na tuzidi kufanya.

(Ona pia Kum. 4:4; 30:20; 2 Fal. 18:6; Zab. 89:14.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki