Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 105
  • Mbingu Zatangaza Utukufu wa Mungu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mbingu Zatangaza Utukufu wa Mungu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Mbingu Zatangaza Utukufu Wa Mungu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Mbingu Zatangaza Utukufu wa Mungu
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Makumbusha na Maagizo ya Mungu wa Mfumo Mpya
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Uumbaji Unatangaza Utukufu wa Yehova
    Mwimbieni Yehova
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 105

Wimbo Na. 105

Mbingu Zatangaza Utukufu wa Mungu

Makala Iliyochapishwa

(Zaburi 19)

1. Mbingu, nyota, zatukuza Yehova.

Uumbaji wake, angani twaona.

Kila siku, wamusifu Mungu.

Fahari na nguvu zake, mwezi watangaza.

2. Sheria ya Yehova ni kamili.

Vikumbusho vyake, huongoza wote.

Maamuzi yake yanafaa.

Neno lake ni hakika, sheria ni safi.

3. Kumwogopa Yehova kwastahili.

Nazo amri zake, zapita dhahabu.

Maagizo yake hutulinda.

Jina lake takatifu twalitegemeza.

(Ona pia Zab. 111:9; 145:5; Ufu. 4:11.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki