Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sn wimbo na. 123
  • Wachungaji—Zawadi Katika Wanadamu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wachungaji—Zawadi Katika Wanadamu
  • Mwimbieni Yehova
  • Habari Zinazolingana
  • Wachungaji​—⁠Zawadi Katika Wanadamu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Hatimaye—Uzima Bila Mwisho!
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Wachungaji Ambao Ni “Vielelezo Kwa Kundi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
  • Wazee, Chukueni kwa Uzito Madaraka Yenu ya Uchungaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
Pata Habari Zaidi
Mwimbieni Yehova
sn wimbo na. 123

Wimbo Na. 123

Wachungaji—Zawadi Katika Wanadamu

Makala Iliyochapishwa

(Waefeso 4:8)

1. Mungu ametuandalia,

Wachungaji wake.

Wanatuwekea mufano,

Jinsi ya kwenenda.

(KORASI)

Mungu atupa wanaume,

Wanaotegemeka.

Wanahangaikia kundi;

Waungeni mukono.

2. Wachungaji watupendao;

Wanatuongoza.

Maneno yao hufariji,

Tunapoumia.

(KORASI)

Mungu atupa wanaume,

Wanaotegemeka.

Wanahangaikia kundi;

Waungeni mukono.

3. Watumia Neno la Mungu,

Tusikengeushwe.

Tupate kuishi Kikristo,

Tupendeze Mungu.

(KORASI)

Mungu atupa wanaume,

Wanaotegemeka.

Wanahangaikia kundi;

Waungeni mukono.

(Ona pia Isa. 32:1, 2; Yer. 3:15; Yoh. 21:15-17; Mdo. 20:28.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki