Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ll seh. ya 10 kur. 22-23
  • Wanaomsikiliza Mungu Watapata Baraka Gani?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Wanaomsikiliza Mungu Watapata Baraka Gani?
  • Msikilize Mungu Uishi Milele
  • Habari Zinazolingana
  • Sehemu ya 10
    Msikilize Mungu
  • “Tazama! Ninafanya Vitu Vyote Kuwa Vipya”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Rafiki za Mungu Wataishi Katika Paradiso
    Wewe Unaweza Kuwa Rafiki ya Mungu!
  • Ni Nini Kusudi la Mungu kwa Dunia?
    Mungu Anataka Tufanye Nini?
Pata Habari Zaidi
Msikilize Mungu Uishi Milele
ll seh. ya 10 kur. 22-23

SEHEMU YA 10

Wanaomsikiliza Mungu Watapata Baraka Gani?

Watu wengi ambao wamekufa watafufuliwa waishi duniani. Matendo 24:15

Watu katika Paradiso wanawakaribisha wale waliofufuliwa

Wazia baraka utakazofurahia wakati ujao ikiwa utamsikiliza Yehova! Utakuwa na afya kamilifu; hakuna mtu atakayekuwa mgonjwa au dhaifu. Watu wabaya hawatakuwako, nawe utaweza kumwamini kila mtu.

Hakutakuwa na maumivu, huzuni, au machozi. Hakuna mtu atakayezeeka na kufa.

Utazungukwa na marafiki na watu wa familia. Maisha katika Paradiso yatafurahisha sana.

Hakutakuwa na woga. Watu watakuwa wenye furaha kwelikweli.

Ufalme wa Mungu utaondoa mateso yote. Ufunuo 21:3, 4

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki