Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • ll seh. ya 12 kur. 26-27
  • Unawezaje Kuwa na Familia Yenye Furaha?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unawezaje Kuwa na Familia Yenye Furaha?
  • Msikilize Mungu Uishi Milele
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi Familia Yako Inavyoweza Kuwa na Furaha
    Biblia Inatufundisha Nini?
  • Maisha ya Familia Yanayompendeza Mungu
    Mungu Anataka Tufanye Nini?
  • Funguo Mbili za Kuwa na Ndoa Yenye Kudumu
    Siri ya Furaha ya Familia
  • Sehemu ya 12
    Msikilize Mungu
Pata Habari Zaidi
Msikilize Mungu Uishi Milele
ll seh. ya 12 kur. 26-27

SEHEMU YA 12

Unawezaje Kuwa na Familia Yenye Furaha?

Upendo ndio siri ya kuwa na furaha katika familia. Waefeso 5:33

Adamu na Hawa katika shamba la Edeni

Kulingana na sheria ya Mungu, ndoa inapaswa kuwa kati ya mwanamume mmoja na mwanamke mmoja.

Mume anamtunza mke wake aliye mgonjwa, mke ametayarisha mlo kwa ajili ya mume wake

Mume mwenye upendo anamtendea mke wake kwa wororo na uelewaji.

Mke anapaswa kushirikiana na mume wake.

Baba anamsaidia mwana wake kukaza fikira kwenye mkutano wa Kikristo

Watoto wanapaswa kuwatii wazazi wao.

Uwe mwenye fadhili na mwaminifu, usiwe mkatili au kukosa uaminifu. Wakolosai 3:5, 8-10

Wazazi wanamfundisha binti yao kuhusu Biblia

Neno la Mungu linasema kwamba mume anapaswa kumpenda mke wake kama mwili wake mwenyewe na kwamba mke anapaswa kumheshimu sana mume wake.

Mwanamke huyu anaumia mume wake anapomtazama mwanamke mwingine kwa kumtamani

Ni kosa kufanya ngono nje ya ndoa. Ni kosa pia kuoa wake wengi.

Familia inatazama machweo ya jua

Neno la Yehova linafundisha familia jinsi zinavyoweza kuwa na furaha.

  • Dumisha usafi wa maadili.​—1 Wakorintho 6:18.

  • Wapende, wafundishe, na uwalinde watoto wako.​—Kumbukumbu la Torati 6:4-9.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki