Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mb somo la 2
  • Somo la 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Somo la 2
  • Masomo Yangu ya Biblia
  • Habari Zinazolingana
  • Masomo Yangu ya Biblia
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Watu Nane Waliokoka na Kuingia Katika Ulimwengu Mpya
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
  • Je, Watoto Wako Salama Wakiwa na Mbwa Wako?
    Amkeni!—1997
  • Nuhu Anajenga Safina
    Kitabu Changu cha Hadithi za Biblia
Pata Habari Zaidi
Masomo Yangu ya Biblia
mb somo la 2

Somo la 2

Makala Iliyochapishwa

Mwanzo 7:7-10; 8:15-17

Ona wanyama walio karibu na safina ya Noa.

Ni wanyama gani wanaotoa sauti ya moo, na ni wanyama gani wanaobweka?

Wanyama wote, wafupi na warefu, wote walioingia katika safina ya Noa waliokoka.

MAZOEZI

Msomee mtoto wako:

Mwanzo 7:7-10; 8:15-17

Mwombe mtoto wako akuonyeshe:

Ng’ombe Mbwa Ndovu

Twiga Simba Tumbili

Nguruwe Kondoo

Pundamilia Upinde wa mvua

Mwombe mtoto aige sauti za wanyama wafuatao:

Mbwa Ndege

Ng’ombe Nguruwe

Kondoo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki