Wimbo Na. 136
Ufalme Umeanza Kutawala—Na Uje!
Makala Iliyochapishwa
Yehova, tangu zamani,
Daima upo tu.
Mwana wako atawala;
Kwa agizo lako.
Ufalme umezaliwa;
Utatawala dunia.
(KORASI)
Sasa kumekuwa
Wokovu nguvu ufalme.
Umeshazaliwa.
Basi: “Na uje, Na uje!”
Shetani muda wafika;
Asiwepo tena.
Japo nyakati hatari,
Sisi si vipofu.
Ufalme umezaliwa;
Utatawala dunia.
(KORASI)
Sasa kumekuwa
Wokovu nguvu ufalme.
Umeshazaliwa.
Basi: “Na uje, Na uje!”
Malaika wana shangwe
Shetani katupwa.
Uwongo wake haupo
Mbingu zatulia.
Ufalme umezaliwa;
Utatawala dunia.
(KORASI)
Sasa kumekuwa
Wokovu nguvu ufalme.
Umeshazaliwa.
Basi: “Na uje, Na uje!”
(Ona pia Dan. 2:34, 35; 2 Kor. 4:18.)