Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • jy uku. 320
  • Baadhi ya Unabii wa Kimasihi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Baadhi ya Unabii wa Kimasihi
  • Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unabii wa Kimasihi Unathibitisha Kwamba Yesu Alikuwa Ndiye Masihi?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Yesu Kristo—Masihi Aliyeahidiwa
    Biblia Inafundisha Nini Hasa?
  • Masihi
    Amkeni!—2015
  • Unabii Unaeleza Mambo Hususa Kuhusu Masihi
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Pata Habari Zaidi
Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
jy uku. 320

Baadhi ya Unabii wa Kimasihi

TUKIO

UNABII

UTIMIZO

SURA

Azaliwa Bethlehemu

Mika 5:2

Luka 2:1-6

5, 7, 67

Kukimbilia Misri na kurudi kutoka Misri

Hosea 11:1

Mathayo 2:13-15, 19, 20

8

Mama walilia watoto wao waliokufa katika jaribio la kumuua mtoto Yesu

Yeremia 31:15

Mathayo 2:17, 18 8

8

Awatangazia mateka uhuru Isaya

Isaya 61:1, 2

Luka 4:17-21

21

Akaa Kapernaumu ya Galilaya

Isaya 9:1, 2

Mathayo 4:13-17

22, 67

Awaponya wagonjwa wengi

Isaya 53:4

Mathayo 8:16, 17

23

Hatagombana barabarani

Isaya 42:1-4

Mathayo 12:16-21

33

Afundisha kwa kutumia mifano

Zaburi 78:2; Isaya 6:9, 10

Mathayo 13:13-15, 34, 35

43

Aingia Yerusalemu akiwa juu ya mwanapunda

Zekaria 9:9

Mathayo 21:1-9

102

Wengi hawamwamini

Isaya 6:10; 53:1

Yohana 12:37, 38

104

Rafiki aliyetegemeka amsaliti

Zaburi 41:9

Yohana 13:18, 21

117

Wanafunzi watawanyika na kumwacha

Zekaria 13:7

Mathayo 26:31, 54-56

118, 124

Achukiwa bila sababu

Zaburi 35:19; 69:4

Yohana 15:24, 25

120

Wanajeshi wagawana mavazi yake

Zaburi 22:18

Yohana 19:23, 24

131

Ahisi kiu akiwa kwenye mti

Zaburi 22:15

Yohana 19:28

132

Mwili wake wachomwa mkuki baada ya kufa

Zekaria 12:10

Yohana 19:34, 37

133

Hakuvunjwa mifupa kabla ya kufa

Zaburi 34:20

Yohana 19:36

133

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki