Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Mei uku. 6
  • Unabii Unaeleza Mambo Hususa Kuhusu Masihi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unabii Unaeleza Mambo Hususa Kuhusu Masihi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unabii wa Kimasihi Unathibitisha Kwamba Yesu Alikuwa Ndiye Masihi?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Yesu Kristo—Masihi Aliyeahidiwa
    Biblia Inafundisha Nini Hasa?
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1987
  • Walimpata Masihi!
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2011
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Mei uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ZABURI 19-25

Unabii Unaeleza Mambo Hususa Kuhusu Masihi

ANDIKO

UNABII

UTIMIZO

Zaburi 22:1

Ingeonekana kwamba Mungu amemwacha

Mathayo 27:46; Marko 15:34

Zaburi 22:7, 8

Atukanwa akiwa kwenye mti wa mateso

Mathayo 27:39-43

Zaburi 22:16

Atundikwa mtini

Mathayo 27:31; Marko 15:25; Yohana 20:25

Zaburi 22:18

Mavazi yake yapigiwa kura

Mathayo 27:35

Zaburi 22:22

Angekuwa mstari wa mbele kutangaza jina la Yehova

Yohana 17:6

Mdhihaki akimpiga Yesu kofi; baadaye watu wakiomboleza anapokufa kwenye mti wa mateso
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki