Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 16
  • Msifuni Yah kwa Mwana Wake Mtiwa Mafuta

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Msifuni Yah kwa Mwana Wake Mtiwa Mafuta
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Msifuni Yehova kwa Sababu ya Ufalme Wake
    Mwimbieni Yehova
  • Msifu Yah Pamoja Nami
    Mwimbieni Yehova
  • Msifu Yah Pamoja Nami
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Sifu Yah Pamoja Nami!
    Mwimbieni Yehova Sifa
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 16

WIMBO NA. 16

Msifuni Yah kwa Mwana Wake Mtiwa Mafuta

Makala Iliyochapishwa

(Ufunuo 21:2)

  1. 1. Yehova ameteua,

    Mwanaye atawale.

    Ana haki ya kutawala,

    Mapenzi yatatendeka.

    (KORASI)

    Enyi Kondoo, Msifuni

    Yehova na Kristo Yesu,

    Mfuateni siku kwa siku,

    na kumtii yeye.

    Msifuni Yah kwa Mfalme,

    mtiwa-mafuta wake,

    atakayelitukuza jina

    la Mungu takatifu.

  2. 2. Yehova ameteua,

    Ndugu za Kristo Yesu.

    Watawale pamoja naye,

    Na kuleta Paradiso.

    (KORASI)

    Enyi Kondoo, Msifuni

    Yehova na Kristo Yesu,

    Mfuateni siku kwa siku,

    na kumtii yeye.

    Msifuni Yah kwa Mfalme,

    mtiwa-mafuta wake,

    atakayelitukuza jina

    la Mungu takatifu.

(Ona pia Met. 29:4; Isa. 66:​7, 8; Yoh. 10:4; Ufu. 5:​9, 10.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki