Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • sjj wimbo na. 47
  • Sali kwa Yehova Kila Siku

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Sali kwa Yehova Kila Siku
  • ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • Habari Zinazolingana
  • Sali kwa Yehova Kila Siku
    Mwimbieni Yehova
  • Sali kwa Yehova Kila Siku
    Mwimbieni Yehova Sifa
  • Kumkaribia Mungu Katika Sala
    Mungu Anataka Tufanye Nini?
  • Yesu Anatufundisha Kusali
    Kumsikiliza Mwalimu Mkuu
Pata Habari Zaidi
‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
sjj wimbo na. 47

WIMBO NA. 47

Sali kwa Yehova Kila Siku

Makala Iliyochapishwa

(1 Wathesalonike 5:17)

  1. 1. Sali kwa Yehova, Husikia.

    Ni pendeleo kumwakilisha.

    Moyo wako umfungulie,

    Sikuzote umtegemee.

    Tusali kila siku.

  2. 2. Sali kwa Yehova, mshukuru.

    Atusamehe, tusamehevyo.

    Mbele zake Mungu tuungame.

    Ndiye Muumba, anatujua.

    Tusali kila siku.

  3. 3. Sali kwa Mungu ulemewapo.

    Ndiye Baba yetu, yu karibu.

    Mwombe ulinzi, na msaada;

    Mtumaini, usiogope.

    Tusali kila siku.

(Ona pia Zab. 65:5; Mt. 6:​9-13; 26:41; Luka 18:1.)

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki