WIMBO NA. 160
“Habari Njema”!
Makala Iliyochapishwa
1. “Tangazo la furaha”—
Habari njema—
Kaja kutoka Bethlehemu.
Yesu Mwokozi,
Kazaliwa huko!
(KORASI)
Habari njema—
Hizi za shangwe—
Msifuni Yah!
Habari njema—
Na tuhubiri.
Amezaliwa—
Yeye ndiye njia.
2. Atawala kwa haki.
Amani kote.
Pia uzima wa milele.
Ufalme wake.
Hudumu milele.
(KORASI)
Habari njema—
Hizi za shangwe—
Msifuni Yah!
Habari njema—
Na tuhubiri.
Amezaliwa—
Yeye ndiye njia.
(KORASI)
Habari njema—
Hizi za shangwe—
Msifuni Yah!
Habari njema—
Na tuhubiri.
Amezaliwa—
Yeye ndiye njia.
(Ona pia Mt. 24:14; Yoh 8:12; 14:6; Isa. 32:1; 61:2.)