Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • it uku. 52
  • Yesu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Yesu
  • Ufahamu wa Kina wa Maandiko
  • Habari Zinazolingana
  • Aliyokumbuka Yoshua
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2002
  • Kitabu Cha Biblia Namba 6—Yoshua
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • Je! Jina Lenyewe Linapasa Kutumiwa?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • “Uwe Hodari Tu na Ushujaa Mwingi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
Pata Habari Zaidi
Ufahamu wa Kina wa Maandiko
it uku. 52

YESU

(Yesu) [Tafsiri ya Kil. ya jina la Kigr. I·e·sousʹ, linalofanana na jina la Kieb. Ye·shuʹaʽ au Yehoh·shuʹaʽ linalomaanisha “Yehova Ni Wokovu”].

MwanahistoriaMyahudi Yosefo wa karne ya kwanza W.K. anataja watu 12 waliokuwa na jina hilo, mbali na wale wanaotajwa katika Biblia. Jina hilo linapatikana pia kwenye maandishi ya Apokrifa ya karne za mwisho za kipindi cha K.W.K. Hivyo, inaonekana kwamba lilikuwa jina la kawaida katika kipindi hicho.

1. Jina I·e·sousʹ linapatikana kwenye maandishi ya Kigiriki katika andiko la Matendo 7:45 na Waebrania 4:8 na linamrejelea Yoshua, kiongozi aliyewaongoza Waisraeli baada ya Musa kufa.​—Ona YOSHUA Na. 1.

2. Babu ya Yesu Kristo, inaonekana alikuwa katika ukoo wa mama yake. (Lu 3:29) Baadhi ya hati za zamani zinataja jina hilo kuwa “Yose.”​—Ona UKOO WA YESU KRISTO.

3. Yesu Kristo.​—Ona YESU KRISTO.

4. Mkristo, inaonekana alikuwa Myahudi, na mfanyakazi mwenzi wa Paulo. Pia, aliitwa Yusto.​—Kol 4:11.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki