Mchanga Una Ratili Ngapi?
“Ungekuwa mzito kuliko mchanga wa bahari” kasema Ayubu mwaminifu kuhusu uchungu aliolazimisha kuvumilia.(Ayubu 6:3). Uzito wa kulemewa kwake unaweza kufahamika vizuri zaidi kwa kufikiria uzito wa mchanga.Yadi moja (karibu mita moja) tu ya cubic ya mchanga wenye majimaji ina wastani ya ratili 3,213!