Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w76 6/15 uku. 270
  • Kazi ya Kutaipu Iliyobadili Maisha

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kazi ya Kutaipu Iliyobadili Maisha
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Habari Zinazolingana
  • Programu ya Kusanyiko la Pekee la Mwaka wa 2010
    Huduma ya Ufalme—2009
  • Baraka Isiyotazamiwa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
w76 6/15 uku. 270

Kazi ya Kutaipu Iliyobadili Maisha

● Katika India, mmoja wa Mashahidi wa Yehova wa Kikristo aliyepewa mgawo wa kuhutubu katika “Ushindi wa Kimungu” Kusanyiko la Wilaya alipanga mfanya kazi mwenzake amtaipie (ampigie chapa) maandishi yake. Mfanya kazi huyo alivutwa sana na maandishi hayo hata akataka kujua kama yeye pia aweza kuhudhuria kusanyiko hilo. Bila shaka angeweza, naye alilihudhuria. Siku ya kwanza ilimvuta sana hata akaomba ruhusa ya kutokuwa afisini. Alipopewa ruhusa, alihudhuria kusanyiko lote. Baada ya hapo akaanza kujifunza Biblia kwa makini, akaanza kuhudhuria mikutano yote ya Mashahidi wa Yehova na karibuni akaanza kueleza wengine mambo aliyokuwa akijifunza. Ingawa ametoka katika jamaa yenye kushikamana sana na dini ya Kibanyani na ingawa amepingwa, amesimama imara akitaka kuwa mwanafunzi mwaminifu wa Yesu Kristo.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki