Kuwekelea Mikono Juu ya Mnyama Anayetolewa Dhabihu
Alipokuwa akimtoa mnyama dhabihu katika hekalu, Mwisraeli alikuwa akiwekelea mikono yake juu ya kichwa cha dume, kondoo au mbuzi. (Law. 1:4) Kitendo hicho kilionyesha kwamba mtu huyo alikuwa akikubali kwamba toleo hilo ni lake na kwamba lilikuwa likitolewa kwa ajili yake.