Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w79 11/1 uku. 24
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
  • Habari Zinazolingana
  • Kwa Nini Tuzoee Kusema Ukweli?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Tunawafurahia Vijana Wanaotembea Katika Njia ya Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
  • Vijana Wakristo Iweni Imara Katika Imani
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Funguo za Elimu Nzuri
    Amkeni!—1995
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1979
w79 11/1 uku. 24

Maswali Kutoka kwa Wasomaji

● Ni nani hao “watakatifu” ambao Yehova alisema nao kwa njozi katika Zaburi 89:19?

Uchunguzi wa Zaburi 89 unafunua kwamba habari inayozungumzwa, inahusu agano la Ufalme. Mistari ya 19, 20 na 29 ya zaburi hii yasomwa hivi: “Ndipo ulipowaambia watakatifu wako kwa njozi, Ukasema, nimempa aliye hodari msaada; nimemtukuza aliyechaguliwa miongoni mwa watu. Nimemwona Daudi, mtumishi wangu, nimempaka mafuta yangu matakatifu. .. . . Wazao wake nao nitawadumisha milele, na kiti chake cha enzi kama siku za mbingu.”

Masimulizi ya 1 Mambo ya Nyakati 17 yanafunua kwamba ahadi ya nasaba ya kifalme yenye kuendelea katika nyumba ya Daudi ilifunuliwa Nathani kwa njozi. Mambo ya Nyakati cha Kwanza 17:15 kinatuambia hivi: “Kwa maneno hayo yote, na kwa maono hayo yote, ndivyo Nathani alivyonena na Daudi.” Kwa hiyo, “watakatifu” hao ni Nathani na Daudi, Daudi akipokea ufunuo huo wa kimungu kupitia kwa Nathani.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki