Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w83 5/1 uku. 23
  • Maswali kutoka kwa Wasomaji

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maswali kutoka kwa Wasomaji
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
  • Habari Zinazolingana
  • Somo Kuhusu Kuwa Macho​—Mabikira
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
  • Wale Wanawali Wenye Hekima na Wapumbavu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Nuru ya Elimu Wakati wa “Umalizio wa Mfumo wa Mambo”
    Usalama Ulimwenguni Pote Chini ya “Mwana-Mfalme wa Amani”
  • Hakuna “Upungufu wa Nguvu” wa Kiroho kwa Wenye Busara
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1974
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1983
w83 5/1 uku. 23

Maswali kutoka kwa Wasomaji

● Katika ule mfano wa wanawali 10 (Mathayo 25:1-13), ni nani aliyepiga kelele akisema: “Haya, bwana arusi; tokeni mwende kumlaki”?

Yesu hakumtaja aliyesema hivyo. Katika arusi ya Kiebrania, yenye kuwa kama ile ambayo Yesu alikuwa akiitumia kutoa mfano huo, labda bwana-arusi alikuwa akifuatwa na watumishi wa kiume au marafiki. (Yohana 3:29) Hao wangeweza kuwajulisha watu wo wote wenye kungoja wawe macho kwa sababu bwana-arusi na kundi lake walikuwa wanakuja. Walakini, hakukuwa na uhitaji wa Yesu kutaja watumishi wa namna hiyo. Wala kusingekuwa na matumizi ya kimfano juu ya watu hao. Jambo la maana ni kwamba kulikuwa na kelele iliyowafanya macho wale wanawali, ikawachochea kuchukua hatua.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki