Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w85 9/15 uku. 23
  • Tatizo Linalohusu Kukopa Pesa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Tatizo Linalohusu Kukopa Pesa
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Nikope Pesa?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2014
  • Kukopesha na Kukopa Kati ya Marafiki
    Amkeni!—1999
  • Ukopeshaji wa Pesa na Upendo wa Kikristo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1984
  • Kukopesha Wakristo Wenzetu Pesa
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1985
w85 9/15 uku. 23

Tatizo Linalohusu Kukopa Pesa

“Tatizo la kukopa pesa ni kwamba mara mtu akiisha kuzipata, hawezi kuepuka kuzifikiria kuwa zake mwenyewe. Anazizoea, anazitendea kama kwamba ni jamaa yake na huenda hata akasahau au akaja kuchukia wazo la kwamba siku moja ni lazima pesa zote hizo ziondoke zikatembelee mtu mwingine. Kukopa ni rahisi. Kulipa ni matanga.” Ndivyo lilivyosema Parade, gazeti la siku ya Jumapili, kuhusu tatizo linalopata maoni ya akilini mtu anapokopa pesa.

Lakini, halihusu maoni ya akilini tu. Pia kuna lile jambo la kiadili​—wajibu wa kulipa kile kilichokopwa. Basi, ingefaa tuzingatie akilini maoni ya Yehova juu ya mtu asiyelipa kile anachokopa. Neno la Mungu linasema: “Asiye haki hukopa wala halipi.”​—Zaburi 37:21.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki