Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w08 11/1 uku. 23
  • Waliopanga Njama ya Kuua Wauawa!

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Waliopanga Njama ya Kuua Wauawa!
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi Paradiso Ilivyopotea
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Yesu Ashinda Vishawishi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Uharibifu wa Sodoma na Gomora
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
  • Yesu Anawaponya Watu Kimuujiza
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
w08 11/1 uku. 23

Kwa Ajili ya Vijana Wetu

Waliopanga Njama ya Kuua Wauawa!

Maagizo: Fanya zoezi hili katika mazingira matulivu. Unaposoma maandiko, jiwazie ukiwa katika matukio yanayozungumziwa. Wazia kikao. Sikia sauti. Hisi kama wahusika wakuu wanavyohisi. Wazia kwamba masimulizi haya ni halisi kabisa.

CHUNGUZA TUKIO HILI.—SOMA DANIELI 6:1-28.

Una maoni gani? Dario alikuwa mtu wa aina gani? Unafikiri alikuwa na sura ya aina gani? Unapomwazia akizungumza “unasikia” sauti ya aina gani? (Soma tena mstari wa 14, 16, 18-20.) _______

․․․․․

Shimo hilo linaonekana namna gani na ungefafanua simba hao namna gani?

․․․․․

Fafanua hali ilivyokuwa dakika chache za kwanza baada ya shimo la simba kufungwa Danieli akiwa ndani.

․․․․․

CHIMBA ZAIDI.

Kwa nini maofisa wa Dario walimwonea Danieli wivu? (Soma tena mstari wa 3.)

․․․․․

Kwa nini Danieli aliamua kusali mahali ambapo angeonekana ingawa angeweza kufanya hivyo faraghani? (Soma tena mstari wa 10, 11.)

․․․․․

Unafikiri ni kwa nini huenda Dario alipendezwa na sheria mpya kuhusu sala? (Soma tena mstari wa 7.)

․․․․․

TUMIA MAMBO ULIYOJIFUNZA. ANDIKA MAMBO ULIYOJIFUNZA KUHUSU . . .

Ujasiri unapokabili upinzani.

․․․․․

Umuhimu wa kusali.

․․․․․

Jinsi Yehova anavyowatunza watumishi wake washikamanifu.

․․․․․

NI MAMBO GANI KATIKA SIMULIZI HILI AMBAYO YAMEKUGUSA MOYO SANA, NA KWA NINI?

․․․․․

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki