Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • w12 2/1 kur. 16-17
  • Masomo Yangu ya Biblia

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Masomo Yangu ya Biblia
  • Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Habari Zinazolingana
  • Somo la 1
    Masomo Yangu ya Biblia
  • Mabawa ya Kipepeo
    Amkeni!—2014
  • Siku Moja Katika Maisha ya Kipepeo
    Amkeni!—1993
  • Sehemu ya Juu ya Bawa la Kipepeo
    Amkeni!—2012
Pata Habari Zaidi
Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
w12 2/1 kur. 16-17

Masomo Yangu ya Biblia

UMRI USIOZIDI MIAKA 3

Ni nani aliyeumba dunia?

Ni nani aliyeumba bahari?

Mimi na wewe tuliumbwa na nani?

Ni nani aliyeumba kipepeo na mabawa yake yenye rangi nyingi?

Yehova Mungu aliumba vitu vyote Ufunuo 4:11

MAZOEZI

Mfundishe mtoto wako:

Jina la Mungu ni nani?

Yehova anaishi wapi?

Aliumba nini?

Mwombe mtoto wako akuonyeshe:

Nyota Mawingu Jua

Mashua Dunia Nyumba

Bahari Kipepeo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki