Mikutano Ya Utumishi Wa Shambani
Septemba 2-8: Unaamuaje kupendezwa kwa kweli
(a) Unapofanya kazi nyumba kwa nyumba? (km-SW 5/90 uku. 3)
(b) Unaposhiriki kazi ya magazeti?
Septemba 9-15: Unapotoa funzo la Biblia nyumbani (rs-SW uku. 12), ungetumiaje
(a) Trakti? (b) Kitabu Creation au kitabu Kuishi Milele?
Septemba 16-22: Ungetoa nini
(a) Wakati kupendezwa kwa unyofu hakuonekani wazi? (km-SW 3/91 uku. 7)?
(b) Kwa mtu ambaye kwa wazi ana shughuli?
Septemba 23-29: Pindi za mazoezi
(a) Zimekusaidiaje kibinafsi?
(b) Ni nini kinachozifanya ziwe zenye kutumika zaidi?
(c) Ni nyakati zipi zinazofaa kuzifanya?