Mikutano ya Utumishi wa Shambani
SEPTEMBA 3-9
Kichwa cha Mazungumzo
1. Pitia maandiko yanayotumiwa na yale utakayosema
2. Utatangulizaje kitabu Creation?
SEPTEMBA 10-16
Utajibuje wale ambao huuliza
1. Kwa nini Mungu huruhusu uovu?
2. Kwa nini kuna uovu mwingi sana? (rsSW kur. 369-373)
SEPTEMBA 17-23
Unaanzaje mafunzo ya Biblia
1. Katika ziara ya kwanza?
2. Katika ziara ya kurudia?
SEPTEMBA 24-30
Toa magazeti ya karibuni
1. Utaonyesha makala gani?
2. Ni mambo gani hususa utatumia?
3. Waweza kutambuaje mtu anayependezwa?