Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Agosti uku. 3
  • Kaa Mahali pa Siri pa Aliye Juu Zaidi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kaa Mahali pa Siri pa Aliye Juu Zaidi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Kukombolewa Kutoka Katika Mitego ya Mwindaji wa Ndege
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Uhuru wa Kutokuwa na Woga wa Hatari za Kiroho
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1975
  • Yaliyomo
    Amkeni!—2018
  • Yehova Ni Kimbilio Letu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2001
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Agosti uku. 3

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ZABURI 87-91

Kaa Mahali pa Siri pa Aliye Juu Zaidi

Tunapata ulinzi wa kiroho katika “mahali pa siri” pa Yehova

91:1, 2, 9-14

  • Leo, ili tukae katika “mahali pa siri” pa Yehova ni lazima tujiweke wakfu na kubatizwa

  • Mahali hapo pa siri hapatambuliwi na wale ambao hawamtegemei Mungu

  • Wale walio mahali pa siri pa Yehova hawaathiriwi na mtu yeyote au kitu chochote kinachoweza kuhatarisha imani na upendo wao kwa Mungu

“Mwindaji wa ndege” anajaribu kutunasa

91:3

  • Ndege ni viumbe wanaojihadhari sana na wasionaswa kwa urahisi

  • Wawindaji huchunguza tabia za ndege kwa uangalifu na kisha kutafuta njia za kuwanasa

  • Shetani, “mwindaji wa ndege,” huwachunguza watu wa Yehova na kuweka mitego iliyokusudiwa kuharibu uhusiano wao na Yehova

Ndege akitazama mtego huku mwindaji akiwa karibu

Mitego minne hatari inayotumiwa na Shetani:

  • Mkristo wa karne ya kwanza akiwakimbia watesaji

    Kuwaogopa Wanadamu

  • Sarafu

    Kupenda Vitu vya Kimwili

  • Familia katika karne ya kwanza ikitoka kwenye jumba la maonyesho la Kiroma

    Burudani Zisizofaa

  • Wanaume wawili wa karne ya kwnza wakibishana

    Tofauti za Kibinafsi

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki