Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Oktoba uku. 7
  • “Mlee Mvulana Kulingana na Njia Inayomfaa”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Mlee Mvulana Kulingana na Njia Inayomfaa”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • Kuelewa Kusudi la Nidhamu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2003
  • Je! Wewe Unaweza, Kukubali Nidhamu?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1986
  • Wazazi—Wazoezeni Watoto Wenu Kwa Upendo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Oktoba uku. 7

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | METHALI 22-26

“Mlee Mvulana Kulingana na Njia Inayomfaa”

Mama akimsomea binti yake kitabu cha kukunjwa huku baba na mwana wake wakitengeneza chombo cha udongo

Kitabu cha Methali kina mashauri yanayofaa kwa ajili ya wazazi. Kukunja matawi machanga kunasaidia sana ukuzi wake. Vivyo hivyo, kuwazoeza watoto kunawasaidia kuendelea kumtumikia Yehova hata wanapokuwa watu wazima.

22:6

  • Mtu akifunga kijiti kwenye tawi

    Kuwazoeza watoto vizuri kunachukua muda na jitihada nyingi

  • Wazazi wanapaswa kuweka mfano mzuri na wanapaswa kuwa makini kuwazoeza, kuwaonya, kuwatia moyo, na kuwatia nidhamu watoto wao

22:15

  • Nidhamu ni mazoezi yanayotolewa kwa upendo yanayosahihisha akili na moyo

  • Kila mtoto anahitaji nidhamu inayomfaa yeye binafsi

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki